Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
03 Septemba 2026 artwork
Government & Organizations

03 Septemba 2026

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Dunia iko katika mbio dhidi ya muda kuzuia ongezeko la joto duniani lisivuke nyuzi joto 1.5 Celsius. Lakini wanasayansi wanaonya kwamba kiwango hicho kinaweza kuvukwa katika miaka michache ijayo. Hali hiyo inajulikana ka...