Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Ukosefu wa ajira baada ya masomo katika kaunti ya Turkana, Kenya, waelekeza vijana kwenye kilimo artwork
Government & Organizations

Ukosefu wa ajira baada ya masomo katika kaunti ya Turkana, Kenya, waelekeza vijana kwenye kilimo

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Duniani kote hivi sasa vijana wanapomaliza masomo hujikuta hawana cha kufanya kwani matarajio ya kupata ajira ili kuanza kujipatia kipato huyeyuka na hivyo kusalia katika sintofahamu. Vivyo hivyo kwa kijana mmoja wa kike...