Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Majanga ya tabianchi yavuruga masomo ya watoto milioni 171 duniani - UNICEF artwork
Government & Organizations

Majanga ya tabianchi yavuruga masomo ya watoto milioni 171 duniani - UNICEF

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Zaidi ya wanafunzi milioni 171 duniani sawa na mwanafunzi mmoja kati ya kila kumi wa umri wa kusoma shule walikumbwa na usumbufu wa masomo kutokana na majanga ya tabianchi mwaka 2025 kwa mujibu wa uchambuzi mpya uliotole...