Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Katibu Mkuu awaenzi waathirika wa Septemba 11: “Ni shambulio dhidi ya ubinadamu wenyewe” artwork
Government & Organizations

Katibu Mkuu awaenzi waathirika wa Septemba 11: “Ni shambulio dhidi ya ubinadamu wenyewe”

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Miaka 25 baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, yaliyotikisa Marekani na dunia nzima, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amewaenzi karibu watu elfu tatu waliopoteza maisha, manusura na wahud...