
08 MEI 2026
May 8, 2026 - 10:55
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Anold Kayanda wa Idhaa hii anazungumza na Dkt. Alinda Mashiku, Mhandisi wa masuala ya anga katika moja ya Vituo vya masuala ya anga za mbali nchini Marekani, NASA. Kwa kuzingatia kuwa Umoja wa Mataifa unapigia chepuo was...
Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Anold Kayanda wa Idhaa hii anazungumza na Dkt. Alinda Mashiku, Mhandisi wa masu...
This episode belongs to Habari za UN.
Use the player on this page to stream the episode online.
Published Apr 28, 2026, 28:18 long, audio available.
Anold Kayanda wa Idhaa hii anazungumza na Dkt. Alinda Mashiku, Mhandisi wa masuala ya anga katika moja ya Vituo vya masuala ya anga za mbali nchini Marekani, NASA. Kwa kuzingatia kuwa Umoja wa Mataifa unapigia chepuo wasichana na wanawake kupata fursa katika sayansi na teknolojia, swali la kwanza la Anold Kayanda kwa Alinda Mashiku ni ameipokeaje hatua ya hivi karibuni ambapo kwa mara ya kwanza mwanamke Christina Cochameshiriki katika timu ya wana-anga waliosafiri na kufanikiwa kuuzunguka mwezi katika eneo mbali zaidi katika anga ya mbali ambako kulikuwa hakujawahi kufikiwa na wanadamu?
You can listen to Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.
Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
This episode is 28:18 long.
This episode was published on Apr 28, 2026.
Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.
Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.
You can listen to Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA on this page when the episode audio is available from the podcast feed.
Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
Published Apr 28, 2026 and 28:18 long