
08 MEI 2026
May 8, 2026 - 10:55
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko huadhimishwa Aprili 30 ya kila mwaka, na mwaka huu katika maadhimisho ya siku hiyo wiki iliyopita, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto, UNICEF, nchini Tanzania...
UNICEF Tanzania yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko huadhimishwa Aprili 30 ya kila mwaka,...
This episode belongs to Habari za UN.
Use the player on this page to stream the episode online.
Published May 6, 2026, 3:09 long, audio available.
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko huadhimishwa Aprili 30 ya kila mwaka, na mwaka huu katika maadhimisho ya siku hiyo wiki iliyopita, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto, UNICEF, nchini Tanzania kwa kushirikiana na wadauwa haki za binadamu na elimu lilizindua kampeni iitwayo ‘No Collabo’ iliyolenga kukomesha adhabu ya viboko kwa mtindo ambao walimu zaidi ya mmoja humchapa mwanafunzi viboko kwa wakati mmoja. Rashid Malekela amezungumza na wazazi mkoani Mwanza Kaskazini Magharibi mwa nchini hiyo kupata maoni yao.
You can listen to UNICEF Tanzania yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.
UNICEF Tanzania yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
This episode is 3:09 long.
This episode was published on May 6, 2026.
Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.
Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.
You can listen to UNICEF Tanzania yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni on this page when the episode audio is available from the podcast feed.
UNICEF Tanzania yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
Published May 6, 2026 and 3:09 long