Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
07 MEI 2026 artwork
Government & Organizations

07 MEI 2026

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo kandoni mwa kikao cha UNPII Flora Nducha alizungumza na mshiriki kutoka Tanzania kwenye jamii ya Wamaasai mwana harakati wa haki za jamii hiyo Adam Kulet Ole Mwarabu aliy...

About This Episode

07 MEI 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo kandoni mwa kikao cha UNPII Flora Nducha alizungumza na mshiriki kutoka Tanzania kwenye jami...

Podcast

This episode belongs to Habari za UN.

Listen Online

Use the player on this page to stream the episode online.

Episode Details

Published May 7, 2026, 9:59 long, audio available.

Questions About This Episode

What is 07 MEI 2026 about?

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo kandoni mwa kikao cha UNPII Flora Nducha alizungumza na mshiriki kutoka Tanzania kwenye jamii ya Wamaasai mwana harakati wa haki za jamii hiyo Adam Kulet Ole Mwarabu aliyeanza kwa kumueleza kwanini mwaka huu ni wa kipekee kwa watu wa jamii za asili. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na neno la wiki.Siku ya tano tangu kuripotiwa kwa virusi vya Hanta kwenye meli ya kifahari ya Hondius kutoka Argentina na kulazimika kutia nanga nchini Cabo Verde, hii leo Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, (WHO) Dkt. Tedros Ghebreyesus amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi kuwa uchunguzi kuhusu mlipuko huo uliosababisha hadi sasa vifo vya watu 3 wakiwemo wanandoa wawili unaendelea.Tukisalia na mlipuko huo wa virusi vya Hanta, Mwakilishi wa WHO nchini Cabo Verde amesema hivi sasa meli hiyo Hondius iko njiani kuelekea visiwa vya Canary nchini Hispania, “na kwenye meli tuna daktari wa Shirika la Afya Duniani (WHO), kuna madaktari wawili wa Kiholanzi ambao wameimarisha timu, na kuna mtaalamu mmoja wa magonjwa ya mlipuko ambaye atasafiri na meli hadi bandari inayofuata ambayo ni visiwa vya Canary. Kwa sasa hakuna mtu mgonjwa kwenye meli, lakini iwapo mtu ataugua, basi kutakuwa na madaktari na vifaa vya matibabu vya kuwahudumia wakati wa safari.”Nchini Tanzania hivi karibuni ripoti ya uainishaji wa viwango vya upatikanaji wa chakula nchini humo iliyoandaliwa kwa pamoja na serikali na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO ilieleza kuwa baadhi ya maeneo ya Halmashauri za wilaya za Same, Maswa na Monduli yako katika kiwango cha tatu yaani (IPC 3).Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "MKUNGUNI"Mwenyeji wako ni Rashid Malekela, karibu!

Where can I listen to 07 MEI 2026?

You can listen to 07 MEI 2026 online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.

Which podcast is 07 MEI 2026 from?

07 MEI 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

How long is this episode?

This episode is 9:59 long.

When was this episode published?

This episode was published on May 7, 2026.

Can I save 07 MEI 2026 for later?

Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.

Are there related episodes from Habari za UN?

Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.

Quick Answers About This Episode

Where can I listen to 07 MEI 2026?

You can listen to 07 MEI 2026 on this page when the episode audio is available from the podcast feed.

Which podcast is this episode from?

07 MEI 2026 is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

What are the episode details?

Published May 7, 2026 and 9:59 long