
08 MEI 2026
May 8, 2026 - 10:55
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Ukeketaji bado ni changamoto katika maeneo kadhaa duniani na takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO hadi mwaka jana kulikuwa na zaidi ya wasichana na wanawake zaidi ya milioni 230 walio hai waliokeke...
Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji Hanna Wendot Cheptumo is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Ukeketaji bado ni changamoto katika maeneo kadhaa duniani na takwimu za...
This episode belongs to Habari za UN.
Use the player on this page to stream the episode online.
Published May 4, 2026, 3:00 long, audio available.
Ukeketaji bado ni changamoto katika maeneo kadhaa duniani na takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO hadi mwaka jana kulikuwa na zaidi ya wasichana na wanawake zaidi ya milioni 230 walio hai waliokeketwa katika nchi 30 za Afika, Mashariki ya Kati na Asia. Kupitia mahojiano yaliyofanyika kandoni mwa Mkutano wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani, CSW70 jijini New York, Marekani, miezi miwili iliyopita, Hanna Wendot Cheptumo Waziri wa Jinsia, Utamaduni na Maslahi ya Watoto wa Jamhuri ya Kenya anaeleza hatua zinazochukuliwa na nchi yake kupambana na hali hiyo ya ukeketaji.
You can listen to Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji Hanna Wendot Cheptumo online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.
Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji Hanna Wendot Cheptumo is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
This episode is 3:00 long.
This episode was published on May 4, 2026.
Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.
Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.
You can listen to Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji Hanna Wendot Cheptumo on this page when the episode audio is available from the podcast feed.
Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji Hanna Wendot Cheptumo is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
Published May 4, 2026 and 3:00 long