
08 MEI 2026
May 8, 2026 - 10:55
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Wanawake na watoto waliokimbia ukame na migogoro nchini Somalia wameonya kuwa wanazidi kutumbukia katika janga la kibinadamu la njaa na mateso huku kupungua kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu kukiendelea kuathiri mais...
Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia nchini Somalia wamweleza Fletcher is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Wanawake na watoto waliokimbia ukame na migogoro nchini Somalia wame...
This episode belongs to Habari za UN.
Use the player on this page to stream the episode online.
Published May 4, 2026, 3:02 long, audio available.
Wanawake na watoto waliokimbia ukame na migogoro nchini Somalia wameonya kuwa wanazidi kutumbukia katika janga la kibinadamu la njaa na mateso huku kupungua kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu kukiendelea kuathiri maisha ya watu kote nchini humo. Onyo lao limetolewa wakati mkuu wa masuala ya dharura na misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Tom Fletcher, akihitimisha ziara yake katika kambi za wakimbizi na vituo vya afya mjini Mogadishu na Baidoa mwishoni mwa wiki. Flora Nducha na taarifa zaidi
You can listen to Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia nchini Somalia wamweleza Fletcher online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.
Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia nchini Somalia wamweleza Fletcher is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
This episode is 3:02 long.
This episode was published on May 4, 2026.
Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.
Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.
You can listen to Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia nchini Somalia wamweleza Fletcher on this page when the episode audio is available from the podcast feed.
Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia nchini Somalia wamweleza Fletcher is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).
Published May 4, 2026 and 3:02 long