Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
30 Aprili 2026 artwork
Government & Organizations

30 Aprili 2026

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tunamsikia Dkt. Tulia Ackson, Rais wa Muungano wa Mabungeni duniani, (IPU) ambaye hivi karibuni akiwa makao makuu ya UN, Marekani aliongoza kikao kilichokuwa sehemu ya Mk...

About This Episode

30 Aprili 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tunamsikia Dkt. Tulia Ackson, Rais wa Muungano wa Mabungeni duniani, (IPU) ambaye hivi ka...

Podcast

This episode belongs to Habari za UN.

Listen Online

Use the player on this page to stream the episode online.

Episode Details

Published Apr 30, 2026, 9:59 long, audio available.

Questions About This Episode

What is 30 Aprili 2026 about?

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tunamsikia Dkt. Tulia Ackson, Rais wa Muungano wa Mabungeni duniani, (IPU) ambaye hivi karibuni akiwa makao makuu ya UN, Marekani aliongoza kikao kilichokuwa sehemu ya Mkutano wa CSW70. Mara baada ya kikao hicho Assumpta Massoi wa Idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa alizungumza naye masuala kadhaa ikiwemo yale waliyopatia kipaumbele ili kusongesha usawa wa kijinsia duniani.Karibu Dkt. Tulia.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo saa 3 asubuhi kwa saa za New York Marekani ameeleza kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu suala la kufungwa kwa mlango bahari wa Hormuz wakati mzozo huko mashariki ya kati ukiingia mwezi wa tatu licha ya kuwepo kwa usitishaji mapigano aliouita kuwa ni dhaifu. Katibu Mkuu ameonya kuwa kadri hali inavyoendelea, ndivyo gharama kwa ubinadamu zinavyoongezeka, akisisitiza kuwa nchi zinazoendelea zitaathirika zaidi kutokana na madeni makubwa na kupotea kwa ajira na kuwataka wahusika wote kurejesha mara moja uhuru wa usafiri kama ilivyoainishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitia Azimio namba 2817.Ripoti mpya ya pamoja iliyotolewa leo na mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayohusika na chakula, kilimo na uchumi yakishirikiana na Tume ya Muungano wa Afrika imeonesha kuna pengo kubwa kati ya ufadhili wa sasa wa umma na binafsi wa kilimo na kiwango cha ufadhili kinachohitajika ili kubadilisha mifumo ya kilimo barani Afrika. Ripoti hiyo pia inathibitisha ongezeko linaloendelea la njaa na ukosefu wa uhakika wa chakula kote barani Afrika, ikisisitiza uharaka wa ufadhili mkubwa na endelevu ili kubadilisha mifumo ya kilimo.Na leo ni siku ya kuadhimisha muziki wa jazz duniani, siku inayotukumbusha nafasi ya muziki wa jazz kama daraja la kuleta amani, umoja na mazungumzo kati ya watu wa tamaduni tofauti. Kupitia midundo yake ya kipekee, jazz imeendelea kuwa chombo muhimu cha elimu na ushirikiano, ikiunganisha jamii duniani kote. Serikali, taasisi za elimu, mashirika ya kiraia na watu binafsi huungana kusherehekea mchango wa jazz katika kujenga jamii jumuishi.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

Where can I listen to 30 Aprili 2026?

You can listen to 30 Aprili 2026 online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.

Which podcast is 30 Aprili 2026 from?

30 Aprili 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

How long is this episode?

This episode is 9:59 long.

When was this episode published?

This episode was published on Apr 30, 2026.

Can I save 30 Aprili 2026 for later?

Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.

Are there related episodes from Habari za UN?

Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.

Quick Answers About This Episode

Where can I listen to 30 Aprili 2026?

You can listen to 30 Aprili 2026 on this page when the episode audio is available from the podcast feed.

Which podcast is this episode from?

30 Aprili 2026 is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

What are the episode details?

Published Apr 30, 2026 and 9:59 long