Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
05 MEI 2026 artwork
Government & Organizations

05 MEI 2026

Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit)

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kumsikia kijana ambaye baada ya kukosa ajira, alichagua kujiajiri kwa kuuza miwa na juisi yake, hatua iliyomwezesha kujipatia kipato na kupambana na u...

About This Episode

05 MEI 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit). Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kumsikia kijana ambaye baada ya kukosa ajira, alichagua kujiajiri kwa ku...

Podcast

This episode belongs to Habari za UN.

Listen Online

Use the player on this page to stream the episode online.

Episode Details

Published May 5, 2026, 9:58 long, audio available.

Questions About This Episode

What is 05 MEI 2026 about?

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kumsikia kijana ambaye baada ya kukosa ajira, alichagua kujiajiri kwa kuuza miwa na juisi yake, hatua iliyomwezesha kujipatia kipato na kupambana na umaskini. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na jifunze KiswahiliShirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limesema abiria na wahudumu waliokumbwa na mlipuko wa hantavirus katika meli ya utalii iliyokuwa Bahari ya Atlantiki huenda waliambukizwa virusi hivyo kabla ya kupanda meli hiyo, ingawa maambukizi miongoni mwa watu ndani ya meli hayawezi kuondolewa kabisa licha ya kuwa ni nadra. Watu saba kati ya abiria na wahudumu 147 wameugua huku wengine wakifariki dunia.Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, linaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Usafi wa Mikono hii leo 2026 chini ya kauli mbiu “Hatua Zinazookoa Maisha,” kikisisitiza haja ya kuimarisha uzuiaji wa maambukizi katika vituo vya afya. WHO inaonya kuwa maambukizi yanayotokana na huduma za afya bado ni tishio la kila siku katika hospitali na kliniki, yakichangia usugu wa dawa za viua vijasumu au antibiotiki, ongezeko la gharama, pamoja na vifo vinavyoweza kuzuilika.Leo Mei 5 ni Siku ya Kimataifa ya Wakunga, huku Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi, UNFPA, likisema wakunga ni wadau muhimu katika huduma za afya ya uzazi duniani kote. Shirika hilo linasema dunia inahitaji wakunga milioni moja zaidi ili kuboresha huduma za afya na kuokoa maisha ya wanawake na watoto wachanga. Kwa mujibu wa UNFPA, wakunga wanahakikisha ujauzito na kujifungua salama, huku pia wakisaidia kupunguza mimba zisizotarajiwa, maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na upasuaji usio wa lazima wakati wa kujifungua.”Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali “Kwendako mema hurudi mema."Mwenyeji wako ni Rashid Malekela, karibu!

Where can I listen to 05 MEI 2026?

You can listen to 05 MEI 2026 online on Radio and Podcast. Open the player on this page to stream the available audio.

Which podcast is 05 MEI 2026 from?

05 MEI 2026 is an episode from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

How long is this episode?

This episode is 9:58 long.

When was this episode published?

This episode was published on May 5, 2026.

Can I save 05 MEI 2026 for later?

Yes. Use the heart button on the episode page to add it to your favorite episodes list.

Are there related episodes from Habari za UN?

Yes. This page shows related episodes from Habari za UN when more episodes are available from the podcast feed.

Quick Answers About This Episode

Where can I listen to 05 MEI 2026?

You can listen to 05 MEI 2026 on this page when the episode audio is available from the podcast feed.

Which podcast is this episode from?

05 MEI 2026 is from Habari za UN by UN Global Communications (Digital Solutions Unit).

What are the episode details?

Published May 5, 2026 and 9:58 long