
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
Jul 1, 2012 - 00:02:42
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Kule Tondiedo, Kwamé anakutana na Clément, mtembezaji wa watalii na mwanafunzi Chuo Kikuu cha Niamey. Anamjua Profesa Omar. Hii inaweza kuwa sehemu ya kuanzia...Jioni kwenye mgahawa, anasikia sauti ambayo si ya kawaida i...