
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na...
Listen to Talisman Brise, a News & Politics podcast by France Médias Monde. Stream 22 episodes in Swahili, follow new audio stories, and play episodes online on Radio and Podcast.
Browse this show under News & Politics podcasts.
20 episodes are loaded now from a catalog of 22. More episodes can be opened from this page.
Explore News & Politics podcasts, India podcasts and Swahili podcasts.

Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....

Hatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha P...

Profesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.

Kwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwati...

Safari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na...

Mambao yamekuwa mambo,Profesa Abubakar na daktarai wabainika kuwa profesa bandia na daktari bandia...fuatilia..

Katika siku ya leo polisi wapata taarifa za madai kutoka kwa watekaji nyara wa Profesa Omar ambao wanadai pesa ili kumwacha huru.Endelea..

Kwamé na Nathalie wanatafuta kufungua jalada ya kompyuta ya mkononi ya Profesa Omar,ili wajue siri iliyopo nyuma ya kutekwa nyara kwa Profes...

Katika makala haya tutamuona kwame akipata mkanganyiko baada ya kumuona mtu aliyemdhania kuwa ni rafiki wa profesa Omar, je ni nani mtu huyo...

Endelea kufuatilia mambo anayokumbana nayo Kwame katika harakati za kumwokoa Profesa Omar.

Sehemu ya 12 ya Makala ya Talisman Brise inazungumzia kuhusu ushawishi wa Clement wa Kwame kuelekea Niamey kukutana na Profesa Kouaga

Kwame ampata Profesa Omar na kipande cha herizi yake, na sasa anaamuwa kwenda Niamey

Katika mchezo huu jumapili ya leo Kwame anafikiria kumtumia mganga wa jadi ili kumpata Profesa Omar, fuatilia mchezo huu upate kufahamu meng...

Clément, mtembezaji wa watalii wa Tondiedo, anaampa maelekezo juu ya tafiti ya profesa na profesa Kouada wanazofanya kwa ajili ya mimea...

Polisi hawatamchukulia Kwame kama gaidi tena

Kule kituoni, polisi wawili wanamuuliza masuali mazito. Ana jaribu kujibu kama anavyowezo. Mwishoni wanamwachia. Wakati anapoondoka anapata...

Kwamé hamuamini mtu na anaamua kupeleleza mwenyewe. Lakini anakamatwa na polisi ambao wanampeleka kituoni. Haelewi vizuri wanamtakia nini na...

Katika muendelezo wa mchezo huu Kwame bado anaendelea na jitihada za kubaini wapi alipo Profesa Omar,ambapo leo anakutana na askari kujua ni...

Kwame bado anaendelea na jitihada zake za kumtafuta Proffesa Omar huko Tondiedo, Je atafanikiwa kumpata? fuatilia makala haya .

Kule Tondiedo, Kwamé anakutana na Clément, mtembezaji wa watalii na mwanafunzi Chuo Kikuu cha Niamey. Anamjua Profesa Omar. Hii inaweza kuwa...
You can listen to Talisman Brise episodes online on Radio and Podcast. Open an episode and the site player will stream the available audio.
Talisman Brise is listed as a News & Politics show. The show language is listed as Swahili.
This page lists 22 episodes for Talisman Brise. More episodes are available from the View more button when the list continues.