Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa? artwork
News & Politics

Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?

Talisman Brise by France Médias Monde

Apr 22, 201200:02:42News & Politics

Kwamé na Nathalie wanatafuta kufungua jalada ya kompyuta ya mkononi ya Profesa Omar,ili wajue siri iliyopo nyuma ya kutekwa nyara kwa Profesa huyo, je, watafanikiwa? Sikiliza uburudike.