
Vipindi sita vya kusikiliza
Oct 31, 2018
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Dorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.