
29 Septemba 2026
Sep 29, 2026 - 9:58
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Katibu Mkuu na vijana kuhusu siku ya amani, ufunguzi wa UNGA81, Akili Mnemba, au Akili Unde AI, na Usalama wa watoto Mtandaoni. Leo ni siku ya amani duniani ambapo Katibu Mkuu wa Um...