Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni artwork
News & Politics

Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni

Habari RFI-Ki by France Médias Monde

Aug 11, 202600:10:00News & Politics

Mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imetoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni za wagombea mbalimbali.Mgombea urais atatakiwa kutumia kiasi cha shilingi za Kenya zisizoz...