
Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba
Sep 25, 2026 - 00:10:01
Radio and PodcastLive Radio & Podcasts
Shirika la afya duniani WHO linasema watu laki 7 na elfu 20 hujitoa uhai kila mwaka. Kujiua ni kati ya sababu tatu kuu ya vifo miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15–29.