Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya artwork
News & Politics

Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya

Habari RFI-Ki by France Médias Monde

Sep 16, 202600:09:56News & Politics

Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maoni ya mskilizaji.