Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Bara Ulaya linatathimini kudhibiti mitandao kwa watoto artwork
News & Politics

Bara Ulaya linatathimini kudhibiti mitandao kwa watoto

Habari RFI-Ki by France Médias Monde

Jul 14, 202600:09:57News & Politics

Umoja wa Ulaya unatathmini kuweka marufuku ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto kutokana na athari za mitandao hiyo kwa watoto. Unazungumziaje pendekezo hili? Skiza maoni ya mskilizaji.