Radio and PodcastRadio and PodcastLive Radio & Podcasts
Kafara Na Fidiya Kwa Mwenyekufungua cover
Religion & Spirituality

Kafara Na Fidiya Kwa Mwenyekufungua

IslamHouse

Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.

Episodes

1 episodes